{"vendorListVersion":107,"lastUpdated":"2025-05-15T16:00:30Z","purposes":{"1":{"id":1,"name":"Kuhifadhi na/au kufikia maelezo kwenye kifaa","description":"Vidakuzi, kifaa au vitambulishi sawa vya mtandaoni (k.m. vitambulishi vya kuingia, vitambulishi vilivyokabidhiwa bila mpangilio, vitambulishi vilivyo kwenye mtandao) pamoja na maelezo mengine (k.m. maelezo na aina ya kivinjari, lugha, ukubwa wa skrini, teknolojia zinazotumika n.k.) yanaweza kuhifadhiwa au kusomwa kwenye akaunti yako kifaa ili kukitambua kila wakati kinapounganishwa kwenye programu au tovuti, kwa madhumuni moja au kadhaa yaliyoelezwa hapa.","illustrations":["Madhumuni mengi yaliyoelezwa katika notisi hii yanategemea uhifadhi au ufikiaji wa maelezo kutoka kwa kifaa chako unapotumia programu au kutembelea tovuti. Kwa mfano, mchuuzi au mchapishaji anaweza kuhitaji kuhifadhi kidakuzi kwenye kifaa chako unapotembelea tovuti kwa mara ya kwanza, ili aweze kutambua kifaa chako unapotembea mara nyingine (kwa kufikia kidakuzi hiki kila mara)."]},"2":{"id":2,"name":"Kutumia data finyu ili kuchagua matangazo","description":"Matangazo unayoonyeshwa kwenye huduma hii yanaweza kutokana na data finyu, kama vile tovuti au programu unayotumia, eneo lako lisilo mahususi, aina ya kifaa chako au maudhui ambayo unatumia (umekuwa ukitumia) (kwa mfano, ili kudhibiti idadi ya mara unazoonyeshwa tangazo fulani).","illustrations":["Mtengenezaji wa magari anataka kutangaza magari yake ya umeme kwa watumiaji wanaojali mazingira wanaoishi jijini baada ya saa za kazi. Matangazo yanaonyeshwa kwenye ukurasa wenye maudhui yanayohusiana (kama vile makala kuhusu juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga) baada ya saa 6:30 jioni kwa watumiaji ambao eneo lisilo mahususi linaashiria kuwa wako katika eneo la mjini.","Mtengenezaji mkubwa wa rangi za maji anataka kufanya kampeni ya matangazo ya mtandaoni kwa aina ya rangi ya maji aliyobuni hivi majuzi, na angependa kubadilisha hadhira yake ili kufikia wasanii wengi wasio na ujuzi na wataalamu iwezekanavyo na kuepuka kuonyesha tangazo karibu na maudhui yasiyolingana (kwa mfano, makala kuhusu jinsi ya kupaka rangi nyumba yako). Idadi ya mara ambazo unaonyeshwa tangazo hutambuliwa na kuthibitiwa, ili kuepuka kulionyesha mara nyingi sana."]},"3":{"id":3,"name":"Kuunda wasifu kwa matangazo yaliyobinafsishwa","description":"Maelezo kuhusu shughuli zako kwenye huduma hii (kama vile fomu unazowasilisha, maudhui unayotazama) yanaweza kuhifadhiwa na kuunganishwa na maelezo mengine kukuhusu (kwa mfano, maelezo kutoka kwa shughuli zako za awali kwenye huduma hii na tovuti au programu zingine) au watumiaji kama hao. Kisha maelezo haya yanatumika kuunda au kuboresha wasifu kukuhusu (ambao unaweza kujumuisha mambo yanayokuvutia na vipengele vya kibinafsi). Wasifu wako unaweza kutumika sasa (pia baadaye) kuonyeshwa matangazo yanayoonekana kukufaa zaidi kulingana na mambo yanayokuvutia na huluki hii na nyinginezo.","illustrations":["Ikiwa unasoma makala kadhaa kuhusu viziada bora zaidi vya baiskeli vya kununua, maelezo haya yanaweza kutumika kuunda wasifu kuhusu mambo yanayokuvutia katika viziada vya baiskeli. Wasifu kama huo unaweza kutumika au kuboreshwa baadaye, kwenye tovuti au programu sawa au tofauti ili kukuonyesha matangazo ya chapa fulani ya viziada vya baiskeli. Ukiangalia pia mfumo wa kubadilisha gari upendavyo kwenye tovuti ya mtengenezaji wa magari ya kifahari, maelezo haya yanaweza kuunganishwa na mambo yanayokuvutia katika baiskeli ili kuboresha wasifu wako na kukisia kuwa unavutiwa na gia za kifahari za baiskeli.","Kampuni ya mavazi ingependa kutangaza aina yake mpya za nguo za watoto za hali ya juu. Kampuni hiyo inawasiliana na shirika lililo na mtandao wa wateja wa kipato cha juu (kama vile maduka makubwa ya hali ya juu) na kuomba shirika hilo kuunda wasifu wa wazazi wapya au wanandoa wanaoweza kukisiwa kuwa matajiri na kupata mtoto mpya, ili haya maelezo yaweze kutumika baadaye kuonyesha matangazo ndani ya programu za washirika kulingana na wasifu huo."]},"4":{"id":4,"name":"Kutumia wasifu kuchagua matangazo yaliyobinafsishwa","description":"Unaweza kuonyeshwa matangazo kwenye huduma hii kwa kutegemea wasifu wako wa matangazo, ambayo inaweza kuakisi shughuli zako kwenye huduma hii au tovuti au programu nyingine (kama vile fomu unazowasilisha, maudhui unayotazama), mambo yanayoweza kukuvutia na vipengele vya kibinafsi.","illustrations":["Muuzaji wa rejareja wa mtandaoni anataka kutangaza mauzo ya muda mfupi ya viatu vya kukimbia. Anataka kulenga matangazo kwa watumiaji ambao hapo awali waliangalia viatu vya kukimbia kwenye programu yake ya simu. Teknolojia ya ufuatiliaji inaweza kutumika kutambua kwamba hapo awali umetumia programu ya simu kutazama viatu vya kukimbia, ili kukuonyesha tangazo linalolingana kwenye programu.","Wasifu ulioundwa kwa ajili ya matangazo yaliyobinafsishwa kuhusiana na mtu aliyetafuta vifuasi vya baiskeli kwenye tovuti unaweza kutumika kuonyesha tangazo linalofaa la viziada vya baiskeli kwenye programu ya simu ya shirika lingine."]},"5":{"id":5,"name":"Kuunda wasifu ili kubinafsisha maudhui","description":"Maelezo kuhusu shughuli zako kwenye huduma hii (kama vile fomu unazowasilisha, maudhui unayotazama yasiyo ya matangazo) yanaweza kuhifadhiwa na kuunganishwa na maelezo mengine kukuhusu (kwa mfano, shughuli zako za awali kwenye huduma hii au tovuti au programu zingine) au watumiaji kama hao. Kisha maelezo haya yanatumika kuunda au kuboresha wasifu kukuhusu (ambao unaweza kwa mfano kujumuisha mambo yanayoweza kukuvutia na vipengele vya binafsi). Wasifu wako unaweza kutumika kwa sasa (pia baadaye) kuonyesha maudhui yanayoonekana kukufaa zaidi kulingana na mambo yanayoweza kukuvutia, kama vile kurekebisha mpangilio wa kukuonyesha maudhui, ili iwe rahisi zaidi kwako kupata maudhui yanayolingana na mambo yanayokuvutia.","illustrations":["Unasoma makala kadhaa kuhusu jinsi ya kujenga jumba kwenye mti katika mfumo wa mtandao wa kijamii. Maelezo haya yanaweza kuongezwa kwenye wasifu ili kuashiria unavutiwa na maudhui yanayohusiana na mambo ya nje na pia miongozo ya kujifanyia shughuli wewe mwenyewe (kwa madhumuni ya kuruhusu ubinafsishaji wa maudhui, ili kwa mfano uonyeshwe machapisho ya blogu na makala zaidi kuhusu nyumba kwenye miti na nyumba za mbao katika siku zijazo).","Umetazama video tatu kuhusu ugunduzi wa angani kwenye programu mbalimbali za televisheni. Mfumo wa habari usiohusiana ambao hujawahi kutembelea unatengeneza wasifu kulingana na tabia hiyo ya utazamaji, na hivyo kutambua ugunduzi wa angani kama mada inayowezekana kuvutia kwa video zingine."]},"6":{"id":6,"name":"Kutumia wasifu kuchagua maudhui yaliyobinafsishwa","description":"Maudhui unayoonyeshwa kwenye huduma hii yanaweza kutegemea wasifu wako wa ubinafsishaji wa maudhui, ambayo yanaweza kuakisi shughuli zako kwenye huduma hii au nyinginezo (kwa mfano, fomu unazowasilisha, maudhui unayotazama), mambo yanayoweza kukuvutia na vipengele vya binafsi. Hii inaweza kwa mfano kutumika kurekebisha mpangilio ambao unaonyeshwa maudhui, ili iwe rahisi zaidi kwako kupata maudhui (yasiyo matangazo) yanayolingana na mambo yanayokuvutia.","illustrations":["Unasoma makala kuhusu vyakula vya wala mboga kwenye mfumo wa mtandao wa kijamii na kisha unatumia programu ya upishi ya kampuni isiyohusiana. Wasifu ulioundwa kukuhusu kwenye mfumo wa mtandao wa kijamii utatumika kukuonyesha mapishi ya wala mboga kwenye skrini ya kukaribisha ya programu ya upishi.","Umetazama video tatu kuhusu kupiga makasia kwenye tovuti tofauti. Mfumo usiohusiana wa kushiriki video utapendekeza video nyingine tano za kupiga makasia zinazoweza kukuvutia unapotumia programu yako ya televisheni, kulingana na wasifu ulioundwa kukuhusu ulipotembelea tovuti hizo tofauti ili kutazama video mtandaoni."]},"7":{"id":7,"name":"Kupima utendaji wa matangazo","description":"Maelezo kuhusu matangazo unayoonyeshwa na jinsi unavyoingiliana nayo yanaweza kutumika kubainisha jinsi tangazo limekuvutia wewe au watumiaji wengine na kama malengo ya utangazaji yalifikiwa. Kwa mfano, ikiwa uliona tangazo, ikiwa ulilibofya, ikiwa lilikuelekeza kununua bidhaa au kutembelea tovuti, n.k. Hii inasaidia sana kuelewa umuhimu wa kampeni za utangazaji.","illustrations":["Umebofya tangazo kuhusu punguzo la bei la “black Friday” linalotolewa na duka la mtandaoni kwenye tovuti ya mchapishaji na ukanunua bidhaa. Mbofyo wako utaunganishwa kwenye ununuzi huu. Mwingiliano wako na ule wa watumiaji wengine utapimwa ili kujua ni mibofyo mingapi kwenye tangazo iliyosababisha ununuzi.","Wewe ni mmoja wa watu wachache sana waliobofya tangazo kuhusu punguzo la“siku ya kimataifa ya kuthamini” kutoka kwa duka la zawadi mtandaoni ndani ya programu ya mchapishaji. Mchapishaji anataka kupata ripoti ili kuelewa ni mara ngapi tangazo mahususi limewekwa ndani ya programu, na hasa tangazo la “siku ya kimataifa ya kuthamini”, limetazamwa au kubofya na wewe na watumiaji wengine, ili kumsaidia mchapishaji na washirika wake (kama vile mawakala) kuboresha uwekaji wa matangazo."]},"8":{"id":8,"name":"Kupima utendaji wa maudhui","description":"Maelezo kuhusu maudhui unayoonyeshwa na jinsi unavyoingiliana nayo yanaweza kutumiwa kubainisha ikiwa maudhui (yasiyo ya matangazo) k.m. yalifikia hadhira iliyokusudiwa na kulingana na mambo yanayokuvutia. Kwa mfano, kama ulisoma makala, kutazama video, kusikiliza podikasti au kuangalia maelezo ya bidhaa, muda uliyotumia kwenye huduma hii na kurasa za wavuti ulizotembelea n.k. Hii inasaidia sana kuelewa ufaafu wa maudhui (sio ya matangazo) ambayo umeonyeshwa.","illustrations":["Umesoma chapisho la blogu kuhusu matembezi marefu kwenye programu ya simu ya mchapishaji na ukafuata kiungo cha chapisho linalopendekezwa na linalohusiana. Mwingiliano wako utarekodiwa ukionyesha kuwa chapisho la kwanza la matembezi marefu lilikufaa na kwamba lilifanikiwa kukuvutia katika chapisho linalohusiana. Hii itapimwa ili kujua iwapo machapisho zaidi ya matembezi marefu yanafaa kutungwa katika siku zijazo na mahali pa kuyaweka kwenye skrini ya kwanza ya programu ya simu.","Ulionyeshwa video kuhusu mitindo inayovuma, lakini wewe na watumiaji wengine kadhaa mmeacha kuitazama baada ya sekunde 30. Maelezo haya kisha hutumika kutathmini urefu sahihi wa video za siku zijazo kuhusu mitindo inayovuma."]},"9":{"id":9,"name":"Kuelewa hadhira kupitia takwimu au uunganishaji wa data kutoka vyanzo tofauti","description":"Ripoti zinaweza kuzalishwa kulingana na mseto wa seti za data (kama vile wasifu wa mtumiaji, takwimu, utafiti wa soko, data ya uchanganuzi) kuhusu jinsi wewe na watumiaji wengine mnavyoingiliana na matangazo au maudhui (yasiyo ya matangazo) ili kutambua sifa za kawaida (kwa mfano, ili kubainisha ni hadhira lengwa gani inavutiwa zaidi na kampeni ya utangazaji au maudhui fulani).","illustrations":["Mmiliki wa duka la vitabu la mtandaoni anataka ripoti za kibiashara zinazoonyesha idadi ya wageni waliotembelea na kuondoka kwenye tovuti yake bila kununua, au kutembelea na kununua kitabu cha mwisho cha mwezi cha wasifu wa mtu mashuhuri, pamoja na umri wa wastani na uwiano wa wanaume kwa wanawake kwa kila aina. Data inayohusiana na matumizi yako ya tovuti yake na sifa zako binafsi inatumiwa na kuunganishwa pamoja na data nyingine kama hiyo ili kutoa takwimu hizi.","Mtangazaji anataka kuelewa vyema zaidi aina ya hadhira inayoingiliana na matangazo yake. Anaipa kazi taasisi ya utafiti kulinganisha sifa za watumiaji walioingiliana na tangazo na sifa za kawaida za watumiaji wa mifumo inayofanana, kwenye vifaa tofauti. Ulinganishaji huu unafichua kwa mtangazaji kwamba hadhira yake ya tangazo inafikia zaidi matangazo kupitia vifaa vya mkononi na kwamba wengi wao ni wa umri kati ya miaka 45 na 60."]},"10":{"id":10,"name":"Kuunda na kuboresha huduma","description":"Maelezo kuhusu shughuli zako kwenye huduma hii, kama vile mwingiliano wako na matangazo au maudhui, yanaweza kusaidia katika kuboresha bidhaa na huduma na kuunda bidhaa na huduma mpya kulingana na mwingiliano wa mtumiaji, aina ya hadhira, n.k. Madhumuni haya mahususi hayajumuishi uundaji au uboreshaji wa wasifu na vitambulishi vya watumiaji.","illustrations":["Mfumo wa teknolojia unaofanya kazi na mtoa huduma za mitandao ya kijamii unatambua ongezeko la watumiaji wa programu za simu, na kubaini kuwa kulingana na wasifu wao, wengi wao wanaunganisha kupitia miunganisho ya simu. Mfumo huu unatumia teknolojia mpya kutoa matangazo yenye muundo unaofaa vifaa vya mkononi na usiotumia data nyingi ya mtandao, ili kuboresha utendaji wao.","Mtangazaji anatafuta njia ya kuonyesha matangazo kwenye aina mpya ya kifaa cha mtumiaji. Anakusanya maelezo kuhusu jinsi watumiaji huingiliana na aina hii mpya ya kifaa ili kubaini kama anaweza kuunda mbinu mpya ya kuonyesha matangazo kwenye aina hii ya kifaa."]},"11":{"id":11,"name":"Kutumia data finyu ili kuchagua maudhui","description":"Maudhui unayoonyeshwa kwenye huduma hii yanaweza kutokana na data kiasi, kama vile tovuti au programu unayotumia, eneo ulipo ambalo si mahususi, aina ya kifaa chako au maudhui ambayo unatumia (umekuwa ukitumia) (kwa mfano, ili kudhibiti idadi ya mara ambazo unaonyeshwa video au makala).","illustrations":["Jarida la makala ya usafiri limechapisha makala kwenye tovuti yake kuhusu kozi mpya za mtandaoni zinazopendekezwa na shule ya lugha, ili kuboresha hali ya kusafiri nje ya nchi. Machapisho ya blogu ya shule hii yanawekwa moja kwa moja upande wa chini wa ukurasa, na kuchaguliwa kwa misingi ya eneo lako lisilo mahususi (kwa mfano, machapisho kwenye blogu yanayoeleza mtaala wa kozi kwa lugha iliyo tofauti na lugha ya nchi unayoishi).","Programu ya simu ya mkononi ya habari za spoti imeanzisha sehemu mpya ya makala yanayoangazia michezo ya hivi majuzi ya kandanda. Kila makala yanajumuisha video zinazopangishwa na mfumo tofauti wa utiririshaji zinazoonyesha vivutio vya kila mechi. Ukicheza video kwa haraka, maelezo haya yanaweza kutumika kuchagua video fupi ya kucheza inayofuata."]}},"specialPurposes":{"1":{"id":1,"name":"Kuhakikisha usalama, kuzuia na kugundua ulaghai na kurekebisha hitilafu","description":"Data yako inaweza kutumika kufuatilia na kuzuia shughuli zisizo za kawaida na zinazowezekana kuwa za ulaghai (kwa mfano, kuhusu utangazaji, roboti zinazobofya matangazo), na kuhakikisha mifumo na taratibu zinafanya kazi ipasavyo na kwa usalama. Inaweza pia kutumiwa kurekebisha matatizo yoyote ambayo wewe, mchapishaji au mtangazaji anaweza kukutana nayo wakati wa kuonyesha maudhui na matangazo na unapoingiliana nayo.","illustrations":["Wakala wa utangazaji anaonyesha matangazo kutoka kwa watangazaji mbalimbali kwenye mtandao wake wa tovuti za washirika. Anatambua ongezeko kubwa la mibofyo kwenye matangazo yanayohusiana na mtangazaji mmoja, na anatumia data kuhusu chanzo cha mibofyo ili kubaini kuwa asilimia 80 ya mibofyo inatokana na roboti badala ya watu."]},"2":{"id":2,"name":"Kutoa na kuonyesha matangazo na maudhui","description":"Maelezo fulani (kama vile anwani ya IP au uwezo wa kifaa) hutumika kuhakikisha uoanifu wa kiufundi wa maudhui au matangazo, na kuwezesha utumaji wa maudhui au tangazo kwenye kifaa chako.","illustrations":["Kubofya kiungo katika makala kunaweza kukuelekeza kwenye ukurasa mwingine au sehemu ya makala. Ili kufanikisha hili, 1°) kivinjari chako hutuma ombi kwa seva iliyounganishwa na tovuti, 2°) seva inajibu (“haya ndiyo makala uliyoomba”), kwa kutumia maelezo ya kiufundi yaliyojumuishwa kiotomatiki katika ombi lililotumwa na kifaa, ili kuonyesha ipasavyo maelezo/picha ambazo ni sehemu ya makala uliyoomba. Kiufundi, ubadilishanaji kama huo wa maelezo ni muhimu ili kutoa maudhui yanayoonyeshwa kwenye skrini yako."]},"3":{"id":3,"name":"Kuhifadhi na kuwasilisha chaguo za faragha","description":"Chaguo unazofanya kuhusu madhumuni na huluki zilizoorodheshwa katika notisi hii huhifadhiwa na kutolewa kwa huluki hizo kwa muundo wa ishara za dijitali (kama vile mfuatano wa herufi). Hii ni muhimu ili kuwezesha huduma hii na huluki hizo kuzingatia chaguo kama hizo.","illustrations":["Unapotembelea tovuti fulani na kupewa chaguo kati ya kukubali matumizi ya wasifu kwa ajili ya utangazaji uliobinafsishwa au kutokubali, chaguo utakalofanya huhifadhiwa na kutumwa kwa watoa huduma wa utangazaji, ili matangazo unayoonyeshwa yazingatie chaguo hilo."]}},"features":{"1":{"id":1,"name":"Kulinganisha na kuunganisha data kutoka kwa vyanzo vingine vya data","description":"Maelezo kuhusu shughuli zako kwenye huduma hii yanaweza kulinganishwa na kuunganishwa na maelezo mengine yanayohusiana nawe na kutoka vyanzo mbalimbali (kwa mfano shughuli zako kwenye huduma tofauti ya mtandaoni, matumizi yako ya kadi ya uaminifu dukani, au majibu yako kwa utafiti), kwa kusaidia madhumuni yaliyoelezwa katika notisi hii.","illustrations":[]},"2":{"id":2,"name":"Kuunganisha vifaa tofauti","description":"Kwa kusaidia madhumuni yaliyoelezwa katika notisi hii, kifaa chako kinaweza kuchukuliwa kuwa kimeunganishwa na vifaa vingine vyako au vya familia yako (kwa mfano kwa sababu umeingia katika huduma sawa kupitia simu yako na kompyuta yako, au kwa sababu unaweza kutumia muunganisho sawa wa Intaneti kwenye vifaa vyote viwili).","illustrations":[]},"3":{"id":3,"name":"Kutambua vifaa kulingana na maelezo yanayotumwa kiotomatiki","description":"Kifaa chako kinaweza kutofautishwa na vifaa vingine kulingana na maelezo ambayo kinatuma kiotomatiki wakati wa kufikia Intaneti (kwa mfano, anwani ya IP ya muunganisho wako wa Intaneti au aina ya kivinjari unachotumia) ili kusaidia madhumuni yaliyoelezwa katika notisi hii.","illustrations":[]}},"specialFeatures":{"1":{"id":1,"name":"Kutumia data ya eneo mahususi la kijiografia","description":"Kwa ruhusa yako, eneo lako mahususi (ndani ya nusu kipenyo cha chini ya umbali wa mita 500) linaweza kutumika kusaidia madhumuni yaliyoelezwa katika notisi hii.","illustrations":[]},"2":{"id":2,"name":"Kuchanganua kiamilifu sifa za kifaa kwa ajili ya utambuzi","description":"Kwa ruhusa yako, sifa fulani mahususi kwa kifaa chako zinaweza kuombwa na kutumiwa kukitofautisha na vifaa vingine (kama vile fonti au programu-jalizi zilizosakinishwa, ubora wa mwonekano wa skrini yako) ili kusaidia madhumuni yaliyoelezwa katika notisi hii.","illustrations":[]}},"dataCategories":{"1":{"id":1,"name":"Anwani za IP","description":"Anwani yako ya IP ni nambari inayokabidhiwa na Mtoa Huduma wako wa Intaneti kwa muunganisho wowote wa Intaneti. Sio mahususi kila wakati kwa kifaa chako na sio kitambulishi thabiti kila wakati.Inatumika kuelekeza maelezo kwenye Intaneti na kuonyesha maudhui ya mtandaoni (ikiwa ni pamoja na matangazo) kwenye kifaa chako kilichounganishwa."},"2":{"id":2,"name":"Sifa za kifaa","description":"Sifa za kiufundi kuhusu kifaa unachotumia ambazo si za kipekee kwako, kama vile lugha, saa za eneo au mfumo wa uendeshaji."},"3":{"id":3,"name":"Vitambulishi vya kifaa","description":"Kitambulishi cha kifaa ni mfuatano wa kipekee wa herufi unaokabidhiwa kifaa au kivinjari chako kwa njia ya kidakuzi au teknolojia nyingine za hifadhi. Kinaweza kuundwa au kufikiwa ili kutambua kifaa chako k.m. kwenye kurasa za wavuti kutoka kwa tovuti sawa au kwenye tovuti au programu nyingi."},"4":{"id":4,"name":"Vitambulishi vya uwezekano","description":"Kitambulishi cha uwezekano kinaweza kuundwa kwa kuunganisha sifa zinazohusiana na kifaa chako (aina ya kivinjari au mfumo wa uendeshaji unaotumika) na anwani ya IP ya muunganisho wa Intaneti. Kwa ruhusa yako, sifa za ziada (k.m. fonti iliyosakinishwa au ubora wa mwonekano wa skrini) pia zinaweza kuunganishwa ili kuboresha usahihi wa kitambulishi cha uwezekano.Kitambulishi kama hicho kinachukuliwa kuwa cha \"uwezekano\" kwa sababu vifaa kadhaa vinaweza kushiriki sifa sawa na muunganisho sawa wa Intaneti. Kinaweza kutumiwa kutambua kifaa chako k.m. kwenye kurasa nyingi za wavuti kutoka kwa tovuti sawa au kwenye tovuti au programu nyingi."},"5":{"id":5,"name":"Vitambulishi vinavyotokana na uthibitishaji","description":"Ambapo kitambulishi kimeundwa kwa misingi ya data ya uthibitishaji, kama vile maelezo ya mawasiliano yanayohusiana na akaunti za mtandaoni ulizofungua kwenye tovuti au programu (k.m. anwani ya barua pepe, namba ya simu) au vitambulishi vya mteja (k.m. kitambulishi kinachotolewa na mtoa huduma wako wa mawasiliano ya simu), kitambulishi hicho kinaweza kutumika kukutambua kwenye tovuti, programu na vifaa wakati umeingia ukitumia maelezo sawa ya mawasiliano."},"6":{"id":6,"name":"Data ya kuvinjari na mwingiliano","description":"Shughuli zako za mtandaoni kama vile tovuti unazotembelea, programu unazotumia, maudhui unayotafuta kwenye huduma hii au mwingiliano wako na maudhui au matangazo, kama vile idadi ya mara ambazo umeona maudhui au tangazo mahususi au kama ulilibofya."},"7":{"id":7,"name":"Data inayotolewa na mtumiaji","description":"Maelezo ambayo huenda umetoa kwa njia ya kutangaza kupitia fomu (k.m. maoni) au wakati wa kufungua akaunti (k.m. umri wako, kazi yako)."},"8":{"id":8,"name":"Data ya eneo lisilo mahususi","description":"Ukadiriaji wa eneo lako, unaoonyeshwa kama eneo lenye nusu kipenyo cha angalau mita 500. Eneo lako linalokadiriwa linaweza kufikiwa kutoka, kwa mfano, anwani ya IP ya muunganisho wako."},"9":{"id":9,"name":"Data ya eneo mahususi","description":"Eneo lako mahususi ndani ya nusu kipenyo cha chini ya mita 500 kulingana na viratibu vyako vya GPS. Inaweza kutumika tu kwa ruhusa yako."},"10":{"id":10,"name":"Wasifu wa watumiaji","description":"Tabia fulani (k.m. mambo yanayoweza kukuvutia, nia yako ya ununuzi, wasifu wako wa mtumiaji) zinaweza kukisiwa au kuundwa kutokana na shughuli zako za awali za mtandaoni (k.m. maudhui uliyotazama au huduma uliyotumia, muda uliotumia kwenye maudhui na huduma mbalimbali za mtandaoni) au maelezo uliyotoa (k.m. umri wako, kazi yako)."},"11":{"id":11,"name":"Chaguo za faragha","description":"Mapendeleo yako kuhusu uchakataji wa data yako, kulingana na maelezo uliyopokea."}}}
|